JK apigwa dongo jingine

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Hapa bado hatujaingia easter


Chanzo:Gazeti la Tanzania Daima Jumapili, Januari 6, 2007
 
Mkuu nimecheka sana. Vijana wa mjini wanasema CHANGA LA MACHO; vijana waliinama chini kuibuka wakampiga Predezhee changa, kisha wakala kona kuendelea na moja moto moja baridi. Hiyo ndio Bongo!

But I think the journalist is right; the man is not serious in his doing. Vitu vingi anavifanya kama yuko kwenye mchezo wa kuigiza, and I don't think he deserve honorarium of serious president unless he change. Sidhani hata kama huwa anakaa ofisini kwake kusoma ripoti au kujifunza mambo yanayoendelea duniani.

Laiti angejua uRais ni kazi inayohitahi high creativity nadhani angekaa chini na kufikiria mara mbili kabla hajaamua kurudi 2010.
 
Huyu Rais ni makini bwana hizo misiteki ndogo sana ukilinganisha na anavyo ijenga Tanzania , kuwafukuza mafisadi na kuwapa walala hoi haki alizo waahidi .
 
Ana mawazo mazuri, ana Nia Nzuri...tatizo Hana U hakika na anancho kifanya....Lakini bila yeye-JK-Hayo Mnayo yasema yange toka wapi?
 
GT,

Good thread- I wonder kama wakati wa Mwalimu Katabazi angedhubutu kuandika hivi!

Sasa ni nani alikuwa na wasaidizi bora na walitufikisha wapi? JKN, AHM & BWM?

AHM nae alikuwa ni hivyo tena- alipelekwa mkenge kwenye mambo mengi tu na kusign na ndo akaitwa Mzee 'Ruksa'- hakuwa na roho mbaya!

Uzuri wa JKN na BWM walikuwa wanasoma kwanza yanayoandaliwa na wasidizi- ni tofauti na JK - naona huwa anaweza tuu saa ingine kuichukua hotuba kama ilivyo -na kuisoma kavu kavu! Why?? Sijui!
 
Huyu Rais ni makini bwana hizo misiteki ndogo sana ukilinganisha na anavyo ijenga Tanzania , kuwafukuza mafisadi na kuwapa walala hoi haki alizo waahidi .

Are we talking about the same president?
 
Nadhani mwandishi hajampiga dongo, kwani aliyo ongelea yote yametendeka na tumeyashuhudia, Sema kwa vile sie wadanganyika huwa tuna ugonjwa wa kusahau, kasaidia kutukumbusha madhaifu ya mkuu wetu wa kaya!

Makala za namna hii ni nzuri walau ziwe zina tukumbusha kumbusha ili hapo 2010 tukipewa pilau, chumvi, na tshirt za kijani tule na kuvaa, lakini bado tuwe tunakumbuka ili tufanye maamzi ya kujikomboa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…