wakushanga
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 552
- 92
Wakati mwingine ni vema kujifunza badala ya kujifua, haya yote yaliyokuwa na kasoro, hasa kwa nyinyi vyama vya upinzani mmeweka mkakati gani kuhakikisha hayatokei?
Hakuna sababu ya kuendelea kugombana, ila kupambana kidiplomasia kwa kuweka pressure ya kisayansi tengenezeni realistic stratergies!
Nawaambia imarisheni chama chenu, unganisheni wanachama anzisheni shughuli za kichama na muwe wengi muwe na ushawishi mkubwa wakati wa uchaguzi muone kama haitakuwa tofauti.
Madonda ni mengi sana:Ni mesikia katika vyanzo vya habari kuwa kauli ya JK, amewaambia wananchi kuwa uchaguzi umeisha kwa ivyo sasa ni wakati wa kuponya madonda ya uchaguzi, aidha amewataka watanzania kusahau yote yaliyo tokea na kuelekeza mawazo yao katika mambo mengine.
sasa hisia zangu wana JF mimi bado vidonda havijapona na vinamaumivu yapo sana tu, kwa mawazo yangu wananchi wangeombwa radhi kwa uwongo uliofanywa na nec
hii itasaidia kidogo kuponya hayo madonda yetu, lakini kura ziibwe na madonda yapone tu.....jamani kweli......!!!!
hili jamani halijakaa vizuri!!!! sijui mnalionaje hili
wewe kweli hamnazo bila kufanya marekebisho ya hii tume ya uchaguzi hata wa-TZ wote wawe wapo upinzani itakuwa ngumu kushinda mifano ipo hebufikiaria mkuu wa wilaya ana amrisha watendaji wahalmashauri wafanye wawezavyo kuhakisha upinzani haushindi kwenye eneo lake eti ikitokea hivyo kibarua hana na huu ndo msingi wa uchakachuaji wa kura sasa ktk hali hii hiyo mikakati inatakiwa ianzie kwenye marebibisho ya hilodubwashika tume NECWakati mwingine ni vema kujifunza badala ya kujifua, haya yote yaliyokuwa na kasoro, hasa kwa nyinyi vyama vya upinzani mmeweka mkakati gani kuhakikisha hayatokei?
Hakuna sababu ya kuendelea kugombana, ila kupambana kidiplomasia kwa kuweka pressure ya kisayansi tengenezeni realistic stratergies!
Nawaambia imarisheni chama chenu, unganisheni wanachama anzisheni shughuli za kichama na muwe wengi muwe na ushawishi mkubwa wakati wa uchaguzi muone kama haitakuwa tofauti.
we unaongea nini bana?unataka kutukanwa hapa watu tupewe BAN