JK kweli anajua kula na vipofu, na amedhihirisha hilo kwenye Q&A session ya jana ( Huku wakiuita ni mdahalo).
Anasema siri ya ajira nchi hii ni Kuleta wawekezaji? Cha ajabu ukitembelea website ya Twaweza NGO inaonesha msamaha wa kodi kwa hawa wawekezaji uchwara imefikia TSh. 724 billion.