Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Watanzania by far hatujui lugha, Kiswahili au Kiingereza, mfano ni bodi hii hapa.
Tatizo ni kwamba, ingawa tuna wachache wanaoshine, hatuna system ambayo hairuhusu watu kupanda kwa merit.Rais wa Tanzania anapatikana kwa politiki nyingi kuliko merit.Kikwete hkupanda kwa merit ila kwa politiki. Waliompigia kura wamepata walicho deserve.
..jamani kinachogomba ni CONTENT ya kile alichozungumza. hilo ni tatizo kwa mtu aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje kwa miaka 10 mfululizo.
..Hilo jibu hapo juu ndiyo lina matatizo. Linaonyesha kwamba Raisi wetu, hata baada ya miaka 10 pale Foreign, na miaka 2 ya Uraisi, hajaiva kidiplomasia.
nadhani hoja aliyotoa Pundit ni ya muhimu....kwamba mbali na vijikosa vya grammar kama ilivyoonyeshwa kwenye ujumbe tunaouongelea[ambavyo vinaweza kuvumilika]kuna suala la kuchafua ujumbe kwa kutumia neno 'excitement'pasipostahili. sidhani kwamba kikwete angeulizwa swali hilo kwa kiswahili angejibu na kuashiria maana ambayo inasomeka kwenye neno 'excitement'. kwa hiyo si vema tuanze kujipa moyo kwamba mapungufu kama haya si taabu kwa sababu tu eti vyombo vya habari vya nje havijakosoa wazi wazi.
Hivi wee joka kuu usichoelewa hapo nini? au tupe alternative ulitaka Rais asemaje,usituchekeshe hapa.Ngoja basi tukutafsirie labda, well, our excitement is that President Bush is at the end of his term, and the U.S. is going to get a new President, whoever that one is.Furaha yetu ni kwamba Rais Bush yupo mwishoni mwa awamu yake ya uongozi na marekani inatajia kupata Rais mpya,yeyote awaye....lamsingi awe rafiki wa afrika kama alivyokuwa bush. Whats wrong with that.
Nyie mlitaka tuchukie Bush kuondoka madarakani?tunafurahi ndio kwani kapitia mikikimikiki mingi ngoja akapumzike salama,tabu iko wapi hapo?Ndio maana nimewaambia wenzetu wanaozungumza language similar to english huko west africa wakikosea aah hatuwacheki wala hatusemi wamekosea,wazungu wakiboronga kiswahili wala hatuwacheki tena tunawasaidia kweli,sisi mbongo aboronge,wee hata kama ana phd ataambiwa hajui lolote.Wakati huhuo wenzetu wakisema goodmorningi....thats ok,sisi mbongo akisema guudumorning weee ataandikwa huyo,utazani kaua mtu
Hapa sasa tuko kwenye ukurasa sawa. Kweli sisi hatujui lugha.
Kuhusu mfumo wetu, ni kweli hauzingatii uwezo na uzoefu wa mtu. Mimi toka mwanzo sikudhani na hadi sasa sidhani kama Kiwete anafaa kuwa raisi wetu. Sidhani kama ana uwezo tosha wa kushikilia ofisi ile.
Yes, maybe he used the word the wrong way. But I will still give him a pass for mis-speaking. People mis-speak all the time. And...it is much easier to mis-speak when speaking in a foreign language. Or it could be that he has the proclivity to mis-speak.....I see no big deal at all.
Mimi hata siku moja sijawahi kuchekwa na mzungu kwa kuchapia kiingereza. Ila nimeshachekwa sana na wabongo wenzangu. Laiti mngejua kiingereza ni lugha yangu ya ngapi....
No big deal, except the speaker is a president and is speaking in the midst of concluding a $ 698 m deal.
Hapa sasa kama ndiyo mambo ya closed room preliminary deals Paris Clud watu wanaitana, msaada unasitishwa.The president is not an avid supporter of the Bush Administration.One grammatical mistake could cost a country $ 700 m !
Mimi hata siku moja sijawahi kuchekwa na mzungu kwa kuchapia kiingereza. Ila nimeshachekwa sana na wabongo wenzangu. Laiti mngejua kiingereza ni lugha yangu ya ngapi....
No big deal, except the speaker is a president and is speaking in the midst of concluding a $ 698 m deal.
Hapa sasa kama ndiyo mambo ya closed room preliminary deals Paris Clud watu wanaitana, msaada unasitishwa.The president is not an avid supporter of the Bush Administration.One grammatical mistake could cost a country $ 700 m !
Hivi Pundit
Ile hotuba aliyokuwa akisoma uliisikiliza fesh mbona haina comment au ni kwa sababu kina salva ndo waliiandaa.naona comment nyingi zipo kwenye direct speech aliyoitoa mdomoni mwake mwenyewe.vipi hapo masaaada kwenye tuta?
Yeah but Presidents are human, too. They are not a different species....therefore you can't demand perfection from them.
Nyani wewe si rais wa Tanzania kwa hiyo tutakupetesha.Ukigombea urais maana yake ni kuwa unawaambia watu kwamba una uwezo wa kuwaongoza nyumbani na kuwawakilisha kimataifa.Sasa kama hujui Kiingereza na huna humility/ sense ya kutumia mkalimani na unachemsha kiasi hiki unategemea tufumbie macho mapungufu hayo?
Kuachia vitu vidogo kama hivi ndiyo kunaleta matatizo makubwa.
Tatizo siyo kuwa Kikwete hajui Kiingereza tu, bali pia hakulijua hilo na hakuchagua kutumia mkalimani.Mbona AU kaongea Kiswahili na wasiojua wametafsiriwa? Ina maana yuko self conscious kuhusu kuongea Kiswahili?
Being able to speak good English is hardly perfection. We are setting our bars too low ourselves by voting in such goons and then we have the audacity to demand top quality leadership, how realistic is that?
Na mimi nilishawahi kumsikia Ahmed Tejan Kabbah akiwa so eloquent nilitamani siku moja rais wa Tanzania aweze kuongea vile.
Clearly you are not equating Kikwete to Mkapa,Mbeki or Obasanjo in that department, are you? Toa reference, two wrongs do not make a right.Even if the said president's did bungle a verb or two, still it doesn't make it right for Kikwete to do the same.We demand the best in every aspect from all our leaders.
If just expressing themselves is a problem what do you expect in international negotiations which involve 3d chess underwater with no gas masks while swimming with sharks without being eaten alive?
English is the least qualifications, and we are dismissing even that!