Hana jipya kwani yeye ni adui namba moja wa mfuko wa Mwl.Nyerere(mwl.Nyerere foundation).Amezuia ujenzi wa jengo la kisasa ghorofa 20 la kumbukumbu ya huyo mzee kipenzi chetu ati kwa kigezo eneo la ikulu haitakiwi kuzungukwa na majengo marefu zaidi ya ghorofa 4.Swali Majengo pacha ya kifisadi BOT vipi? na pia kuna jengo kubwa la MANJI na taasisi moja ya serikali(ubia wa kifisadi) pale ocean load vipi?
JK kamtendea visivyo huyo mzee na mzimu huo utamtafuna mpaka atujuta kumfahama baba wa Taifa mwl.julius kambarage Burito Nyerere.
Hata familia na watanzania tunamshangaa.HASHINDI YULE !!!!!!!!!!HAJATENDA HAKI KWA MWALIMU
kama ilivyo kawaida ya porojo za ccm kuwa wanamuenzi baba wa taifa huku wakiwa wachafu kimaadili kupindukia,ikiwa sasa kwenye kampeni zake hasa kwenye majimbo yenye wagombea wenye maadili shakani kama chenge,lowasa,rostam yeye amewasafisha japo wanabaki na tuhuma zao mbele ya jamii,hivi atawahutubia nini watanzaania siku ya kumkumbuka mwalimu oct 14?