JK Atakapokuwa Hana "cha Kupoteza!"


Afadhali umesema wewe ndugu yangu! Huyu jamaa yetu hajibu hoja kwa hoja anakimbilia tu matusi, nk. Mimi nimewasema Mzee Mkapa (Mkristo) pamoja na Mzee Mwinyi (Mwislamu) lakini yeye amekimbilia kumtetea Mzee Ruksa pekee kwa sababu anazozijua mwenyewe! But the fact remains, Mwinyi alifanya attempt ya kuiingiza nchi yetu kwenye OIC kinyemela bila hata ya Bunge letu tukufu kufahamu! Kwani huu ni uwongo jamani? Mtu anayeona kwamba mimi nasema uwongo aseme hivyo na si matusi. Na kilichomfanya Mwinyi aachane na mpango wake ni nini kama anaona alikuwa sahihi?
 
Wewe ndio kilaza huwezi kuchambua jambo lolote lile la kitaifa bila kuwataja waislamu na waarabu kwasababu za chuki zako za kidini..inaonyesha uwezo wako mdogo wa kufikiri..pole sana

Huo uwezo wako wa kufikiri unaodhani kwamba unao umekuwezesha kujenga hoja ipi au umechambua kipi? Na kama nikiwataja Waislamu na Waarabu kuna ubaya gani? Acha inferiority complex, hazitakusaidia lolote wala mtu mwingine!
 
Alikuwa na uchungu lakini alikuwa "MBAGUZI" wa kufa mtu...hana lolote afadhali anakandamizwa na ardhi kama alivyowakandamiza wengine shit!

Inferiority complex mbaya sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…