Ijumaa ya tarehe 21.08.2009;katibu mkuu wa chama kinachotawala nchini Tanzania(CCM) Yusuph Makamba alisema, Rais Jakaya Kikwete atatimiza ahadi zake alizotoa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005;kama atapatiwa muda.(WEEK END AFRICAN)
Binafsi najiuliza hii hatua si sawa na kusema,maneno matupu haya vunja mfupa!