Elections 2010 JK ataweza kweli?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Kama mwaka 1990 watanzania tulikuwa milioni 25.5, kufikia 2008 tulikuwa milioni 42.5 na inakadiriwa kufikia 2015 tutakuwa milioni 52.1 (World Bank, 2010). Sasa kama JK ameshindwa kuboresha maisha kwa kila mtanzania kufikia leo hii, je kufikia 2015 ataweza?
 
Mwenye kusikia na afahamu!...Mwanamayu awaambia watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…