Elections 2010 Jk atua kisiri usiku jijini mwanza

Elections 2010 Jk atua kisiri usiku jijini mwanza

Howdesi

Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
33
Reaction score
4
Habari za uhakika baada ya Dialo na Masha kumwagwa vibaya na CHADEMA JK ashukuka kisiri usiku hakuna ajuaye kafuata nini. Yuko Bugando kumuona swaiba wake Masha aliyelazwa baada ya mshtuko mkubwa. Habari za uhakika amewekewa oxygen Hali ni mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
hawajazoea kushindwa hawa!
ngoja waone yaliyotokea kenya...........mawe against risasi!
 
Back
Top Bottom