Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,286 Reaction score 4,523 Feb 1, 2008 #21 Mtu wa Pwani said: nnaaamini mh kikwete atafanya mengi mazuri, nnaamini kwa dhati kikwete ni mtu mzuri na amekuja wakati unaofaa. ni chaguo jema la afrika na nnaamini atajituma kuhakikisha afrika inasonga mbele na kupitia huko atajifunza kuinua na kuboresha tanzania Click to expand... Ni chaguo la Mungu .....umesahau hili...
Mtu wa Pwani said: nnaaamini mh kikwete atafanya mengi mazuri, nnaamini kwa dhati kikwete ni mtu mzuri na amekuja wakati unaofaa. ni chaguo jema la afrika na nnaamini atajituma kuhakikisha afrika inasonga mbele na kupitia huko atajifunza kuinua na kuboresha tanzania Click to expand... Ni chaguo la Mungu .....umesahau hili...
NgomaNzito JF-Expert Member Joined Jan 10, 2008 Posts 559 Reaction score 28 Feb 1, 2008 #22 Misele kama kawa itazidi ataenda kusuluhisha hata ambako hakusuluhishiki time clocking