Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wangewatia na virungu ili kuharakisha ukombozi wa nchi....maana ndio wangepata akili na kutambua jinsi serikali ya ccm inavyobaka haki zao...Wazee wamejikusanya leo mahakamani kudai haki yao ya mafao polisi wakawabana mbaya. Ghafla msafala wa JK ukapita spidi 180. Source habari saa 2 usiku ITV.
watalipwa siku watakayopata akili....kwa sasa wasahau....Halafu huyu bwana si aliahidi kuwalipa au kasahau?
Wazee wamejikusanya leo mahakamani kudai haki yao ya mafao polisi wakawabana mbaya. Ghafla msafala wa JK ukapita spidi 180. Source habari saa 2 usiku ITV.
Hao ndio aina ya watanzania ambao wananyanyaswa kwa haki zao,lakini haohao wanashabikia watawala wakinunuliwa kwa bei nafuu,mfano yule babu wa igunga aliyekuwa anashabikia chama furani kwa midadi eti kimemkumbusha mbali ni ajabu,lakini alidai hawana huduma nzuri za mawasiliano
Wazee wamejikusanya leo mahakamani kudai haki yao ya mafao polisi wakawabana mbaya. Ghafla msafala wa JK ukapita spidi 180. Source habari saa 2 usiku ITV.
Halafu huyu bwana si aliahidi kuwalipa au kasahau?