JK awakimbia wazee wa EAC

MwanaCBE

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Posts
1,771
Reaction score
804
Wazee wamejikusanya leo mahakamani kudai haki yao ya mafao polisi wakawabana mbaya. Ghafla msafala wa JK ukapita spidi 180. Source habari saa 2 usiku ITV.
 
Wazee wamejikusanya leo mahakamani kudai haki yao ya mafao polisi wakawabana mbaya. Ghafla msafala wa JK ukapita spidi 180. Source habari saa 2 usiku ITV.
wangewatia na virungu ili kuharakisha ukombozi wa nchi....maana ndio wangepata akili na kutambua jinsi serikali ya ccm inavyobaka haki zao...
 
Halafu huyu bwana si aliahidi kuwalipa au kasahau?
 
Uongozi wa nchiyetu unasikitisha sana unashindwa kuheshimu hata wazee wetu ,lazima tunalaana
 
Hao ndio aina ya watanzania ambao wananyanyaswa kwa haki zao,lakini haohao wanashabikia watawala wakinunuliwa kwa bei nafuu,mfano yule babu wa igunga aliyekuwa anashabikia chama furani kwa midadi eti kimemkumbusha mbali ni ajabu,lakini alidai hawana huduma nzuri za mawasiliano
 
Wazee wamejikusanya leo mahakamani kudai haki yao ya mafao polisi wakawabana mbaya. Ghafla msafala wa JK ukapita spidi 180. Source habari saa 2 usiku ITV.

wale wazee wana kadi za ccm, na ni ccm damu.
 
kuna wazee hapa mtaani nawafahamu, ni wanachama hai wa ccm. Kufatilia kwa makini nikagundua nao wamo kwenye orodha ya wazee wa EAC.
 
Wazee wamejikusanya leo mahakamani kudai haki yao ya mafao polisi wakawabana mbaya. Ghafla msafala wa JK ukapita spidi 180. Source habari saa 2 usiku ITV.

Kiukweli wangewatandika na virungu pamoja na mabomu ya machozi sababu wazee Kama hawa ni wabishi sana kuyakubali mabadiliko,ukimuambia unaipendea nini ccm watabaki kubwabwaja tu piga hao
 
mzee mmoja kapigwa rungu hadi huruma wajameni.tatzo lao ni ccm mwanzo mwisho.
 
Hivi wale wazee JK huwa anawaita na kusema nao huwa si kati ya hawa au wale ni wazee wa CCM pekee ? Maana nimeshangaa kumpiga yule mzee yaani polisi hawa wana laana mbaya mno .
 
Halafu huyu bwana si aliahidi kuwalipa au kasahau?

Atakuwa kasahau yawezakuwa anasumbuliwa na alzhelmer. Ndio sbb ahadi zote zimesahaulika!
 
ccm ni hovyo kweli! ndio maana naona hata vijana kama january makamba ni hovyo tu! ivi kweli mtu na elimu unaweza ku-support ccm? hypocrites!
 
Dah, my grandpa worked over 30years and died in an abject poverty. We ngoja tu ipo siku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…