yani ruge anapiga pesa kupitia hilo bifu akisikia wamepatana atazimiaPesa hizo ningekuwa na pesa ningeongea nao biashara.
si wameshafanya au wawe wawili peke yaoHawa jamaa siku wakifanyakazi pamoja nitafurahi sana
​Ni kweli kuna watu wananufaika na hiyo haliyani ruge anapiga pesa kupitia hilo bifu akisikia wamepatana atazimia
Alitoa bonge la speech ???NIKI WAPILI....alitoa bonge la speech..!huyu msanii yupo vizuri sana kichwani..kuliko hao gadem mburulaz na mateam yao ya kijinga..