Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
JK ndiyo katua dakika chache zilizopita na sasa yuko US rasmi.
Wanduguhii ni noma sana yaani hakuna hata TV moja ambyo imetoa habari ya kuwasili kwa Mheshimiwa wetu....TV zote ni ziara ya POPE...ajabu Bush alipokuja TZ MKUU alimpa red carpet lakini sisi wetu akienda kwa ni nonentity...au kwa sababu Mkuu amejialika mwenyewe
Kwa zama hizi na nchi ilivyo, na anavyoipeleka, kuna watu wanataka kupiga picha naye????
Hivi kweli vioja, unataka kupiga picha na Fisadi Kikwete hili kujisifia vipi, wakati watanzania wote wanajua kuwa huyu ni mtu mbaya sana kwetu??
Jamani ebu tuache mambo ambayo yamepitwa na wakati haya, baada watu wafikilie watambana vipi ili kuelezea uchafu anaoufanya Tanzania, mnafikilia kupiga picha na Fisadi!!
Kweli bana Marekani kuzuri...wenye kukataa wana wivu tuu