Taarifa za kiinteligensia zinasema hilo ni suala la kiusalama zaidi. Maana haichelewi kuandaliwa 'maalum' kwa ajili yake toka huko wanapopajua. Kujiepusha na ya mwakyembe katoka na yake sandukuni
Hii ndo inaweza kuwa habari. Mengine hayo ni ushabiki tu!Rais Jakaya Kikwete azindua ujenzi wa hospital ya kisasa ya CCBRT Dar es salaam, ujenzi huo unategemewa kufanyika pembeni mwa eneo lao kubwa la iliyopo hospital ya sasa.
Si mkurugenzi tuu but Dr. Slaa is the CCBRT chairman of board.
Anaingilia kazi ya makamu wa rais, mzee wa mikasi.
Si mkurugenzi tuu but Dr. Slaa is the CCBRT chairman of board.
kutaniko? hivi ni kiswahili sahihi au?
Rais Jakaya Kikwete azindua ujenzi wa hospital ya kisasa ya CCBRT Dar es salaam, ujenzi huo unategemewa kufanyika pembeni mwa eneo lao kubwa la iliyopo hospital ya sasa.
Huyu Waziri Mponda simuelewi. ''Alivyojikojolea kwenye suruali '' majuzi haoni aibu kukaa hapo?