tenanzinyo
Member
- Dec 28, 2012
- 64
- 23
Kwanza niwape pole sana watanzania wezangu wepenzi wa tasnia ya filamu nchini kumpoteza msanii wa nguli wa filamu Juma Kilowoko almaarufu kama SAJUKI!japokuwa kifo ni kazi ya mungu lkn hata binadam wanaweza kusabibisha kwa namna moja au nyingine kwa mfano kwa kumpa sumu,kumpiga kumgonga na gari nk.Na pia si utamaduni mzuri kutupiana lawama baada ya kutokea kifo cha mpendwa au wapendwa wetu!Kuna habari zisizo rasmi zinazosema bongo moves waliharibu tamasha la marehemu aliloandaa huko Arusha kwaajili ya kukusanya fedha za mtatibabu yake nchini India!naasikia baada ya kupata taarifa hz ndipo alipopata mshtuko na kuanguka chini na kuzidiwa mpk kupelekwa dsm!Lkn pia bongo moves haohao walishindwa kushughulikia kwa haraka kupeleka barua ikulu ili wapatiwe msaada wa kumpeleka sajuki nchini India!kwa kuwa Jk alishakubali kugharamia
matibabu ya sajuki ila ilihitajika tu barua kwenda ikulu.lkn swali la kujiuliza hapa kwa nini Ikulu walihitaji barua wakati hali ya mgonjwa ilashaanza kuwa mbaya au ndo itifaki lzm izingatiwe?Pengine Sajuki angewahishwa kupelekwa India labda kifo chake kisingeweza kutokea. Najua tutayasikia mengi sana baada ya kifo cha msanii huyu lkn yote kwa yote ni kwamba Sajuki ametutangulia mbele za haki ila kifo chake kiwe ni funzo kubwa kwa wasanii wa tanzania,najua saivi watakuwa bize madukani kutafuta suti,miwani nyeusi,madira ya gharama kubwa kwa ajili ya kwenda kuuzia sura kwenye msiba na wengine watakuwa wapo saloon wakifanya scrabing na make up ili watokelezee kwe maTV!MWISHO NITOE POLE ZA DHATI KBS KWA MKE WA MAREHEMU SAJUKI WASTARA KWA KUPIGANIA MAISHA YA MUMEWE MPK DAKIKA YA MWISHO BILA KUCHOKA TENA KWA UJASIRI MKUBWA!MWENYEMUNGU AMJALIE MOYO WA SUBIRA NA AMPE NGUVU KTK KIPINDI HIKI KIGUMU ANACHOPITIA KTK MAISHA YAKE!Mwenyezimungu ailaze roho ya marehemu SAJUKI mahali pema peponi AMEN