Freetown JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 882 Reaction score 78 May 5, 2008 #1 kwa maoni yangu timu ya taifa kuitwa jina la mheshimiwa ni kujidhalilisha. kwani hajafanya kweli katika mapigano dhidi ya rushwa.ni sifa asiyostahili. ni waandishi wa habari mliobatiza jina hilo tunaomba mliondoe.
kwa maoni yangu timu ya taifa kuitwa jina la mheshimiwa ni kujidhalilisha. kwani hajafanya kweli katika mapigano dhidi ya rushwa.ni sifa asiyostahili. ni waandishi wa habari mliobatiza jina hilo tunaomba mliondoe.
W Wandugu Masanja JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 1,574 Reaction score 522 May 5, 2008 #2 si ndio tunaiga. K K 11 kama unaikumbuka enzi zile ilikuwa tishio kwa Afrika ya mashariki, sasa na sie ati JK boys
si ndio tunaiga. K K 11 kama unaikumbuka enzi zile ilikuwa tishio kwa Afrika ya mashariki, sasa na sie ati JK boys