Saharavoice JF-Expert Member Joined Aug 30, 2007 Posts 4,017 Reaction score 2,580 Nov 1, 2010 #1 Kwa hali inavyoonyesha, sasa ni dhahili kutakuwa na umwagaji damu kama matakwa ya wananchi hayatafuatwa. Je ni JK au ni Dr. Slaa ambaye yuko tayari kuingia ikulu kwa kumwaga Damu? Tafakari
Kwa hali inavyoonyesha, sasa ni dhahili kutakuwa na umwagaji damu kama matakwa ya wananchi hayatafuatwa. Je ni JK au ni Dr. Slaa ambaye yuko tayari kuingia ikulu kwa kumwaga Damu? Tafakari