JK hakwepi lawama kwa jinsi CCM ilivyogeuka kikundi cha watu wachache badala ya kuwa chama cha mamilioni ya wanachama

Sijui imekuaje na wazee wapo wanaangalia tu. Chama kimegeuka ni cha kikundi fulani cha wachache wanajiamulia mambo wao wenyewe na kinapitisha bila wengi kukubaliana kama katiba yao inavyotaka
 
Asante kwa kuongea ukweli mtupu
 
Wakuu!

Kwenye mkutano huo wa CCM ile majuzi, siku ya kwanza kabisa msemaji Amosi Makala alisema kuna wajumbe watano hawajahudhuria.

Naomba kama kuna yeyote anyefaham hao wajumbe atujuze hapa! na inaonekana watakuwa ni wajumbe wenye high profile katika chama, mana kutofika katika mkutano kama huo hivi hivi mi ngumu.
 
JK anahitaji pongezi lawama ya Nini. Wenye chama Chao wanapongeza uamuzi wa mkutano mkuu we Nani kuja kubwabwaja humu?
Ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hata hao wanaopongeza nao ni wajinga kwa kupongeza ujinga
 
Hajavuruga!amekisaidia chama kuengua wasiotakiwa kuongoza jamuhuri kiakili sana!!

Katiba ya chama na katiba ya jamuhuri imevunjwa ili kumtosa yona!
 
Hahaha......wajumbe wamepigwa za uso
Haha ndo maana watu walitoka wamevurugika maana hizo nafasi kama unazifikiria hadi sasa hujui uanze na formation ipi maana kuna mchujo wa chama bado halaf tena kupigiwa kura.........
 
Hilo la kodi liliishaje, alilipa? Bahati mbaya aliishia tu kuwaonesha 'maadui' zake kuwa anajua kinachoendelea bila kuwachukulia hatua, wao hawakufanya kosa hilo.
 
Umenena kweli mwanzilishi wa mitandao ya kihuni nchi hii ni Kikwete ni mara baada ya kushindwa kupata urais 1995.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…