JK hakwepi lawama kwa jinsi CCM ilivyogeuka kikundi cha watu wachache badala ya kuwa chama cha mamilioni ya wanachama

Halafu ni mnafique sana huyu dingi.
 

View: https://www.instagram.com/p/DFSQVJktKNH/?img_index=1&igsh=OTh1dnczOHMxZzl1
 
Uchambuzi murua kabisa na wa kweli. JK hata katiba.mpya.anastahili kulaumiwa kwa lutoisimamia kwa dhati ndhani.alisimamia kimagumashi ili wafadhili wamuone
 

View: https://x.com/Hakingowi/status/1883511122378014837?t=qEoibmhfgDIBLzk72EfZXw&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…