JK; I leave office a happy man

Wasiojua lowassa na jk hawajakutana barabarani ndio wanatokwa povu. Wajuao washakimbia ama wametulia tulii
 
Huyu Kikwete ana wasiwasi na Ukawa na ndiyo maana hataki Lowassa achukue nchi.
 
Ni miongoni mwa watu watakaokuwa na stress kubwa baada ya mwezi huu. Hakuna cha 23,000 feet wala 2 feet above sea level.
 
JK is just talking out of talking. Mr President, are yu sure of your words? Mbona macho yako hayaoneshi hiyo furaha??
 
He will never ever be a happy man! The fact that he says so is a proof that he is in conflict with his own conscience and he is attempting to silence it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…