Duuh! Nime mind lile tumbo na usafiri wa mzee Zuma. Naona ame balance vizuri bila kuanguka maana ile ngoma walikuwa wanacheza zulu warriors enzi zile.
Ila mkuu, hiyo heading hapo sio ndo yale ya akutukanaye hakuchagulii tusi?[/QUOTE]
bora ukweli uumao kuliko utani uchekeshao
..Na Mr. Zuma anadumisha mila kikweli kweli..Sidhani kama muungwana JK anaweza kujichanganya kwenye Gombe sugu la kwao au Msondo!!!http://www.thefirstpost.co.uk/assets/library/426-zuma--126268547545863200.jpg
http://news.yahoo.com/nphotos/South...=/100103/481/70aafab9f3f240468ddabe57899f5e28
ukiwa rais unatakiwa uweke familia yako wazi na wananchi wote wajue sana sana idadi ya wake, bila kufanya hivyo watu wanakuona hauna maadili.
Mwinyi aliweka wake zake bayana na alikuwa na heshima kubwa sana na watu walikuwa hawana matatizo na idadi ya wake zake.
kitu kinachoniudhi ni pale unaposikia JK wanachi wakibishana kama yule ni mke wa JK au la, alafu wanaishia kusema JK kiboko.
Please JK do the right thing na fuata nyanyo za Mwinyi.
but we need to know his family properly, au mnasubiri akistaafu ndo mjue budget inayotoka kumtunza yeye, nyumba kubwa na nyumba ndogo ndio uanze kuhoji hili. Its the right thing to do, to put things into the open, why would someone hide his wife? i don get it, after all deen inaruhusu.Ni maisha ya mtu binafsi, hwezi force JK akawa kama zuma au mtu mwingine yeyote.
but we need to know his family properly, au mnasubiri akistaafu ndo mjue budget inayotoka kumtunza yeye, nyumba kubwa na nyumba ndogo ndio uanze kuhoji hili. Its the right thing to do, to put things into the open, why would someone hide his wife? i don get it, after all deen inaruhusu.
Tena nasikia ni mtoto wa rostam aziz, i duno!π
then ukishajua inakusaidia nini kwa maendeleo ya tanzania?Acheni uzushi, huyo RA anamiaka mingapi na kuwa na mtoto wakuolewa na Mkuu wa kaya.but we need to know his family properly, au mnasubiri akistaafu ndo mjue budget inayotoka kumtunza yeye, nyumba kubwa na nyumba ndogo ndio uanze kuhoji hili. Its the right thing to do, to put things into the open, why would someone hide his wife? i don get it, after all deen inaruhusu.
Tena nasikia ni mtoto wa rostam aziz, i duno!π
si ana mke mkubwa yule mama yake Ridhwan na huyu mama wa yule mtoto alieshinda chipukizi, namaana mama Salma Kikwete.