katika miaka mitano aliyokaa ikulu alikuwa akizungukwa na wapambe wakimdanganya tuu;
sasa baada ya kukutana uso kwa uso na wananchi katika kampeni amegundua kuwa watendaji wa serikali,wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa halamashauri n.k walikuwa wakivurunda tuu ndio maana ameamua kila mtu ajibu tuhuma katika eneo lake.
mfano hai ni pale alipokuwa katika kampeni kule kagera na akakiri hadharani kuwa wakuu wa mkoa wa ikagera na wilaya ya misenyi walimpotosha kuwa katika ranchi ya kakunyu hakuna makazi ya watu. Hali kama hiyo imejitokeza katika sehemu nyingi katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wa j k na wananchi kwa maelfu kunyang'anywa ardhi zao, kubomolewa nyumba zao n.k.