Kiuhakika yupo Zanzibar unajua uchaguzi wote wa Tanzania sehemu ambayo ni active ni Zanzibar ,uchaguzi unaweza kuharibika popote pale lakini ukiharibika na kuaanza mzozo huko visiwani basi ujue moto wake kuuzima ni shida sana ,na utaharibu kila kitu na itatapakaa dunia nzima within a second ,sio mchezo na sasa watu wanashereheka kwa nguvu na sauti na tayari wameshaleta ngoma hapo bwawani ni kukesha tu.