Kwa wale walioliona gazeti la mwanahalisi leo kuna kijana mdogo hajavaa hata viatu amebeba bango limeandikwa kama kilivyo kichwa cha habari. kwa mtu wa kawaida utacheka basi. ila mimi naona aliyeandaa bango na kumpa mtoto anayeishi ktk mazingira magumu alibeba amefikiria sana na anafikisha ujumbe mkubwa zaidi. kwamba kuna watz wengi ikiwa ni pamoja na masikini wenye uwezo wa kuongoza.
tuwekee hiyo picha p'se!.
Hapo penye nyekundu najiuliza kwanini unafikiri hilo bango halijaandaliwa na huyo mtoto?Kwa wale walioliona gazeti la mwanahalisi leo kuna kijana mdogo hajavaa hata viatu amebeba bango limeandikwa kama kilivyo kichwa cha habari. kwa mtu wa kawaida utacheka basi. ila mimi naona aliyeandaa bango na kumpa mtoto anayeishi ktk mazingira magumu alibeba amefikiria sana na anafikisha ujumbe mkubwa zaidi. kwamba kuna watz wengi ikiwa ni pamoja na masikini wenye uwezo wa kuongoza. ukiwa umeshikilia ofisi ya umma uiheshimu kama dhamana la sivyo tuachie sisi tunaweza, hahahaaa. demokrasia tamu sana