Katika original post ya JK kufungua hii hotel nilisema JK hata kwenye birthday party ya mtoto wako unamleta tu, with full presidential regalia, regalia knaamean?
Si unapledge a couple hundered million shillings to his campaign chest tu?
JK ana intelligence zote kuhusu wabongo, elimu nyao, nani anaweza kufurukuta nini, Jamiiforum inaendeshwa na nani, na inawafikia watanzania wangapi, na wangapi watampigia kura 2010, mpaka ana confidence ya kusema 70% ya wabongo ni bendera fuata upepo.
Anajua anapeta tu, sasa kwa nini asiweke show ya kumshtaki Mramba (ambayo inampa ujiko kichizi) and at the same time aende kufungua hoteli yake?
Na haya yote chamtoto, matusi ya JK mtakuja kuyaona term ya pili ambapo atakuwa hana hofu ya kuchaguliwa tena, I tell you mark my words.
Somebody bookmark this page, archive it, and come back to it in 2015 !