silver25
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 743
- 44
Wiki moja toka JK atangaze rasmi kuwa naye ANAUNGA MKONO SWALA LA katiba mpya, lakini mpaka sasa hivi ninavyosema, ninauhakika changa hili litaendelea kuwasha mpaka atakapo maliza 5 years yake na kutokomea gizani,
ukweli ni kwamba JK amekubali ili kuzima mishumaa ya Dikuduku ya Watanzania na vyama Pinzani wanao dai katiba HASA CHADEMA WANA DEMOKRASIA, na kuthibitisha hili
"" NAULIZA JE JK AMELIONGELEA HILI TENA KATIKA OCATIONS ZINGINE?" KAMA HAJALIONGELEA HILI wADAU TUMEUMIA CHA MSINGI TUSILEGEZE KAMBA.
mOVEMENT ZIENDELEE, KAMA ARUSHA