JK kumweka Malecela Waziri Mkuu?

NYWEPWESWI nyingine. Hapa sio sehemu ya kunukuu habari za magazeti ya UWAZI, SANI, RISASI, nk.

Mie sio mshabiki wake.

Simo.
 
Another spinning! Shida inakuja pale Mh. Lunyungu anapotakiwa kuthibitisha.
 
Acheni usanii, chapeni kazi hii nchi isha uzwa
 
hoja ya malecela kuwa PM ni hoja dhaifu mno.
walio karibu na mchambuzi (EL) wamjuze aje ukumbini kutupa machache kuhusu huyu mchmbuliwaji.

mzee Bill napiga kazi na sala maana nchi hii ndo ishapata warithi wanaojipa utukufu wa turufu....
 
Ukitaka kufanya mabadiliko kwa maana ya kuleta maendeleo,katika nyanja zote,(yaani katika siasa na uchumi) anza na yule unayemwona kwenye kioo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…