Napata habari hapa sasa hivi kutoka CCM Mbeya ni kwamba JK atakuwa huko tena kwa kampeni Siku ya Ijumaa. Du! yaani kweli jamaa sasa anaweweseka, yaani kusikia Slaa atakuwa huko tayari homa imepanda!
Sasa mkuu anahangaika nini? Nakumbuka Katibu mkuu wake Mh. Makamba alisema uchaguzi wa mwaka huu ni mteremko na CCM haina mshindani kwa sababu JK katika awamu yake hii ya kwanza katimiza ahadi zake zote na wananchi wanajua!!
Angalia mkuu, Mbeya si Mtwara...ulipoahidi kuwa kitovu cha viwanda (wakati hata DSM hakuna viwanda kustahili kuitwa kitovu)......pagumu pale!! Hawadanganyiki wakazi wa Mbeya, umesahau ulipoonyeshwa alama za chadema kila ulipopita mkoani Mbeya?
Hivi kwani ratiba ya kampeni watu wanaamua wenyewe au Vyama vinaamua kufanya mabadiliko vinapojisikia kufanya hivyo? Nilitegemea ratiba nzima ya kila chama iko NEC na hawezi kubadilishwa
hahahahahaaaaaaaa!
Siku hizi ukitaka kumjambisha (kama wanavyofanyiwa wazee wa pwani) jk unafanya kama hivi:
Kwanza unamvizia, badala ya kufanya pruuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!, unasema slaaaaaaa!!!
Hakika utamuonea huruma.
Kwa hiyo kesho watoto wa shule hawasomi tena huko mbeya.
Sikio la kufa.....
Mgonjwa mahututi akiomba maji ya kunywa......
Kifo cha Nyani .........
Kifo cha Mende.......
Kwa sisi wataalam wa SOKA uchaguzi huu tunasema CCM na JK wamepigwa inaitwa COUNTER ATTACH na dakika ndiyo hiyo ya 92 na sekunde 50. (Bado sekunde 10 tu za muda wa nyongeza kuisha)
Giza limetanda JK kabidhi nchi watu wahakutaki. Tunangojea kushangilia ushindi wetu wa uhuru wa watanganyika 2010.
Hima himaaaaaaaaaaaaa.........................
Hima Himaaaaaaaaaaaaa.........................
hahahahahaaaaaaaa!
Siku hizi ukitaka kumjambisha (kama wanavyofanyiwa wazee wa Pwani) JK unafanya kama hivi:
Kwanza unamvizia, Badala ya kufanya pruuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!, unasema Slaaaaaaa!!!
Hakika utamuonea huruma.
Kwa hiyo kesho watoto wa shule hawasomi tena huko Mbeya.