JK kwa pamba hawezekaniki

ahh wapi kakosea kuanzia juu mpaka chini

mazingira hayo unakwenda na mambo kama haya:



au rangi ya Brown










juu pia angepiga rangi ya Khaki
Ahsante, kiatu cha kati nimekipenda sijui nikipate wapi nimtoe mr wangu akiwa na t'shirt na kadet yake safi kabisa! i like it
 
Mh! kupiga pamba ............... ina vigezo vingi
- hela iwepo
- maduka ya kunua pamba hizo yawepo .....
- nafasi iwepo

PAMBA NYINGI ZA VIONGOZI - WAMEWEZESHWA NA KODI ZETU....sie tunavaa MITUMBA....CHEAP CHINESE CLOTHING ETC.

ANYWAY .... PAMBA NZURI NI MATENDO YA MTU

I STAND TO BE CORRECTED
 

mkuu kama na wewe unataka kufaidi hivyo vitu hapo juu fanya fanya ukamate cheo chake, ama kama huvitaki hivyo vitu basi tueleze ni mipango gani uliyonayo na juhudi zako zimefikia wapi katika kuleta mabadiliko kwa nchi hii ili tukuunge mkono!!
 
Sipo hapa kujadili siasa...ukweli usiobishika ni kuwa JK hawezekaniki kwa pamba

kuanzai za kawaida suits mpaka kanzu (anakwenda kama Sheikh Mohammed wa Dubai


Post your pictures

Slidingroof, ni kweli mkuu anapiga pamba za nguvu na anapendeza, hebu soma hapa ujue hizo pamba zinatoka wapi..


Hiyo ni just a single source ya hizo pamba, just imagine uki compile all the sources!, lazima upendeze, tena hata ningekuwa mimi, siku zote 365 kwa mwaka, kila siku na pamba zake na hakuna kurudia!
 
nguo zinanunuliwa na serikali hata wewe ungeshindwa kuvaa tu kweli?
 
We muanzisha uzi huu unamsifia mtu anayekukamua kwenye kodi ndo avae pamba !we vipii? Unamsifia ili akupe ukatibu kata??
 
ohh kanunuliwa siti mara ohh sijui niini

mbona hapa hajavaa hiyo suti mnayompakazia?




 
pamba zake kumbe za kuhongwa! Dume zima unahongwa na dume mwenzio, inawezekana na chupi anahongwa
 
Angezingatia mambo ya msingi katika nchi na kuwa na uwezo wa kukemea maovu na kufanya maamuzi bila mzaha Pamba zake zingekuwa na maana.
 
we judge leaders by what is covered by their skulls, not by what covers their bodies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…