JK amemwaga ahadi tena Lindi! Amesema anateua Hospitali ya misheni iwe ya wilaya ( amesahau alivyojaribu kuondoa misamaha ya kodi kwenye huduma hizi)
Zaidi ameahidi kujenga hospitali nyingine ya Wilaya ili watu wa Lindi wasisumbuke kwenda mbali kwa matibabu.
Akamalizia kwa kusema, kwani kuna ubaya gani kwa wilaya kuwa na hospitali kuu mbili za wilaya! CCM inaweza bwana!
Lakini alisahau kitu kimoja zaidi: Kwa kuwa amekuwa akikemea mambo ya udini kwenye kampeni, alitakiwa pia atoe angalizo kwamba, hospitali hiyo Teule, isibague watu kwa misingi ya kidini. Au udini umeisha kwa vile Lindi haina Hospitali ya wilaya kwa miaka 50 toka uhuru sasa?
Akaendelea kumwaga ahadi zingine huku watu wa kijani (wamama) wakishangilia kwa mavuvuzela bila hata kujua anaongea nini.
Kweli chama changu sasa kiko very desparate!