JK maana yake nini?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Ninavoelewa mie JK ni kifupi cha ama Julius Kambarage au Jakaya Kikwete. sasa ili kutofautisha mhusika wa kifupi hicho ni vema tukaachana nacho na kama tunataka kutumia vifupisho vya hawa viongozi wetu ni bora kutumia kwa majina yote matatu kama:-
Julius Kambarage Nyerere - JKN na
Jakaya Mrisho Kikwete - JMK.
Vinginevo inachanganya.
 
3x³ + 4 - x² + 5
= 3x³ - x² +4 +5
=_____________

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Ujue jina la Nyerere halinogi pasipo kuanza na "MWALIMU" JULIUS KAMBARAGE NYERERE sasa hapo JK inakujaje?

Sisi tunamjua mwal nyerere!

wakati ukuta.
 
Nickname ya Jakaya Kikwete ni Jk,
Nickname ya Nyerere ni Mwalimu Nyerere.

Jaribu kupitia interview kadhaa za baba wa Taifa utagundua hilo, waandishi mbalimbali walikuwa wakimuita kwa either jina Mh Rais au Mwalimu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
JK ni 'nickname'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…