Elections 2010 Jk maendeleo ya tanzania kwa miaka yako kumi yanapimika kwa kauli hii?

Elections 2010 Jk maendeleo ya tanzania kwa miaka yako kumi yanapimika kwa kauli hii?

Lalashe

Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
84
Reaction score
1
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM wakati wa kampeni zake aliwahi kusema maneno haya baada ya kuulizwa swali na mtanzania mmoja Je Mheshimiwa JK watanzania wakukumbuke kwa lipi katika uongozi wako uliopita na ujao kama utashinda? Jibu la JK lilikuwa kama ifuatavyo "WATANZANIA WANIKUMBUKE KWA KUANGALIA NILIWAKUTA HAPA NA NIMEWAFIKISHA PALE" HIVI MHESHIMIWA JK ALIELEWA SWALI? KAMA ALIELEWA SWALI LA MTANZANIA HUYU WAKATI AKIWAZUNGUMZA NAO KUPITIA RUNINGA, ALIOYASEMA TUTAWEZA KUYAPIMA BAADA YA MIAKA KUMI YA UONGOZI WAKE?
 
Jibu lilikuwa na litaendelea kuwa vague! It leaves a room for a lot to ponder whether good or bad in politics!
 
he, the president himself, had already preset all the qns to be asked that night...and how STUPID of him, HE FAILED TO ANSWER!
 
Back
Top Bottom