JK, Malecela na CCM mmemsikia Obama

JK, Malecela na CCM mmemsikia Obama

sawasawa

New Member
Joined
Jul 13, 2009
Posts
1
Reaction score
0
Kutokutajwa kwa Tanzania katika hotuba ya Oboma ni ujumbe mahsusi kwa JK ambaye hivi karibuni alikuwa Marekani ambapo alikuwa rais kwa kwanza wa Africa kukutana na Obama. Tunakumbuka alimzawadia mpira wa basket. Alikuwa na kumbukumbu ya JK lakini Tanzania hakuitaja kama mfano wa kuigwa katika demokrasia barani Afrika. Inaelekea Obama anaelewa vyema kuwa japokuwa Tanzania inafanya uchaguzi, kama alivyosema yeye mwenyewe kuna mambo ambayo yanaua demokrasia katika uchaguzi ikiwamo wizi wa kura, rushwa katika uchaguzi wa serikali na hata katika jumuia za chama cha CCM. Vilevile Polisi wanatumika kupiga wafuasi wa vyama vya upinzani na pia wafuasi wa CCM wanatumwa na chama chao kuwapiga wafuasi wa vyama vya upinzania na wanalindwa na polisi. Kuhusu wizi wa kura Malecela amekuwa ndiye kinara. Na kila anapoonekana ujue wizi wa kura unafuatia. Huyu Malecela aliwahi kutufunda sisi wanafunzi wa chuo kikuuu baada ya kupewa kadi za CCM kule Dodoma kuwa sasa tuhakikishe chama kinaendelea kutawala. Na ili kuendeleza utawala wa CCM lazima kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuendesha propaganda, kuiba kura na hata kuua ikiwezekana. Hili hawezi kubisha. Kwa hiyo JK, Malecela pamoja na chama chao cha CCM ndio mnaoua demokrasia hapa Tanzania na ndio maana Rais Obama hakutaja Tanzania kama mfano wa kuigwa. Obama haangalia sura ya mtu na nadhani sasa safari za JK huko Marekani zitapungua sana, wewe unasemaje?
 
OK, Asante kwa ujumbe mzuri,

Ila JK kwa kujipendekeza sidhani kuwa ataacha kwenda huko....

Pia, inaonekana ulishawahi kuwa karibu sana na Malechela kwa hiyo tueleze yote mliyoambiwa wakati mnapewa kadi kwa kuwa mambo uliyodokeza ni nyeti sana eg. 'kuua'

Otherwise kama utatoa mambo nusu nusu tutakuhesabu kuwa bado Ka-UCCM hakajakuisha.
 
Kutokutajwa kwa Tanzania katika hotuba ya Oboma ni ujumbe mahsusi kwa JK ambaye hivi karibuni alikuwa Marekani ambapo alikuwa rais kwa kwanza wa Africa kukutana na Obama. Tunakumbuka alimzawadia mpira wa basket. Alikuwa na kumbukumbu ya JK lakini Tanzania hakuitaja kama mfano wa kuigwa katika demokrasia barani Afrika. Inaelekea Obama anaelewa vyema kuwa japokuwa Tanzania inafanya uchaguzi, kama alivyosema yeye mwenyewe kuna mambo ambayo yanaua demokrasia katika uchaguzi ikiwamo wizi wa kura, rushwa katika uchaguzi wa serikali na hata katika jumuia za chama cha CCM. Vilevile Polisi wanatumika kupiga wafuasi wa vyama vya upinzani na pia wafuasi wa CCM wanatumwa na chama chao kuwapiga wafuasi wa vyama vya upinzania na wanalindwa na polisi. Kuhusu wizi wa kura Malecela amekuwa ndiye kinara. Na kila anapoonekana ujue wizi wa kura unafuatia. Huyu Malecela aliwahi kutufunda sisi wanafunzi wa chuo kikuuu baada ya kupewa kadi za CCM kule Dodoma kuwa sasa tuhakikishe chama kinaendelea kutawala. Na ili kuendeleza utawala wa CCM lazima kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuendesha propaganda, kuiba kura na hata kuua ikiwezekana. Hili hawezi kubisha. Kwa hiyo JK, Malecela pamoja na chama chao cha CCM ndio mnaoua demokrasia hapa Tanzania na ndio maana Rais Obama hakutaja Tanzania kama mfano wa kuigwa. Obama haangalia sura ya mtu na nadhani sasa safari za JK huko Marekani zitapungua sana, wewe unasemaje?

Huyu Malecela aliwahi kutufunda sisi wanafunzi wa chuo kikuuu baada ya kupewa kadi za CCM kule Dodoma kuwa sasa tuhakikishe chama kinaendelea kutawala. Na ili kuendeleza utawala wa CCM lazima kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuendesha propaganda, kuiba kura na hata kuua ikiwezekana. Hili hawezi kubisha.
 
Back
Top Bottom