Elections 2010 JK: Mpeni kura Jah People, atawasaidia

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513

MY TAKE
sina shaka na elimu yake wala kukubalika kwake kwenye jamii bali hilo jina lake linaashiria kitu fulani against jamii. kwanza kujiita Jah People maana yake ni Mungu mtu. bora angejii ta Ras kuliko jah. nilishawahi kumweleza Kimbuteh kuwa anapojiita Jah Kimbuteh ni kujitwisha nafasi asiyostahili.
Kikwete kazi unayo maana zaidi ya wala majani hata masangoma unawanadi this time
 

Maadam ameishaanza kuwanadi masangoma basi ujue lifuatalo baadae kuwapa ubunge wanajim!!
 
Sikujuwa JAH maana yake ni MUNGU!! .. Shukran Msanii.. nimepata neno jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…