Jk-msijali Kuitwa Mafisadi!

Mashoo, nakubaliana na wewe kabisa, kwa sababu hakuna humu duniani raisi wa nchi hajui kuwa nchi inauzwa kwa miaka 50 kimkataba. Inasikitisha sana kuona kuwa kuna watu wanam-support eti kafanya vitu vizuri. Safari ni ndefu sana Africa, haswa kwa Tz.
 
Ila naona Watanzani sasa wameamka na CCM days are numbered!
 
Maisha Magumu, uchumi umedorora,matatizo lukuki, huduma za afya duni, elimu isiyo na manufaa kwa wananchi, na sasa vimeanzishwa vituo vya kulelea wanafunzi waliomaliza darasa la saba, almaarufu shule za sekondari za Kata, huko hakuna elimu bali ni kusukuma siku tu, kuthibitisha hili kama uhai utakuwepo tutaona matunda yake miaka kumi ijayo pale jeshi la wasio na kazi litakapozagaa mitaani na kubuni mbinu mbalimbali za uangamizaji na wizi utakaobarikiwa na kizazi hicho kutokana na maandalizi duni ya vijana hao kwa sasa.
 
Je kama JK ameshindwa kusikiliza upande wa wananchi na badala yake ni wazi kakumbatia upande wa mafisadi...Je tutafika?
 
Alishawaambia wasijali kuitwa MAFISADI kwani BALLALI atakufa kwa mapenzi ya MUNGU.
 
Mashoo, nakubaliana na wewe kabisa, kwa sababu hakuna humu duniani raisi wa nchi hajui kuwa nchi inauzwa kwa miaka 50 kimkataba. Inasikitisha sana kuona kuwa kuna watu wanam-support eti kafanya vitu vizuri. Safari ni ndefu sana Africa, haswa kwa Tz.

JK NI FISADI TUMESHAJUA HILO!WATU WASIPOTEZE MUDA!
 
Hao wanaolalamikia TANROADS HAWAKUSOMA HII THREAD?
MODS IRUDISHENI KWENYE JUKWAA LA SIASA HII!
PLS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…