Katika uchaguzi wa Rais mwaka 2005 kulikuwa na wagombea wengi wakiwemo JMKkikwete (CCM), IHLipumba (CUF), FMbowe (CHADEMA)..na wengine...
Wakati huo kikundi fulani cha jamii (kinachopenda kupendelewa) kikatamka waziwazi kwamba JMKikwete ni chaguo la Mungu...impliedly wagombea wengine si chaguo la mungu...ila....
Hatimaye wananchi wakapiga kura akashinda wengine yule chaguo la Mungu nafikiri kikundi hicho cha jamii (kimeshapata cake/mgawo wao kwa kuwa kina penda kupendelewa)
Swali je 2010 JMKikwete ni chaguo mungu (2005) itabidi 2010 apande daraja awe / atakuwa "mtoto wa Mungu" ?
JK sasa hivi anaogopa kuikaribia hata madhabahu ya kanisa , au umesahau mkasa wa kuporomoka kule Mwanza baada ya walokole kukoleza maombi yao. Muulize akwambie.
Huyu hawezi kua chaguo la Mungu wa kweli, labda mungu wa kule baharini, simnajua kuwa huyu ni mzee wa pwani.
Mungu wa tumaini anafahamu kwamba kila binadamu JMkikwete ameumbwa na mungu, IHlipumba amuumbwa na mungu?? waleeeeeeee waliosema JK pekee ni mtoto wa mungu..2010 watasema nini? kwa wapiga kura wao..just curious?? je wameshagawawi national cake kiasi gani?? lol..ha ha ha ha haha,
Yaani nimecheka hadi basi. Kumbe wanamaombi walikuwa wanapiga sala kule Mwanza hadi Kikwete akalalia kushoto (sijui ina maana gani hii)?
Huyo Tumaini ana mungu wake mwenyewe anayemjua kwa hiyo usimshangae sana maana anaweza kukuvalia mkanda wa kujilipua muda wowote ule.
Unakumbuka JK alisema,''naomba mnichague kuwa Rais,ili niweze kutumia vipaji vyangu kuleta maisha mema kwa kila Mtanzania.''
Wakati wote wa uongozi wake,JK ameonyesha kwamba yeye ana vipaji vingi,na lawama mara nyingi zimeelekezwa kwa watendaji wake,na mpaka sasa hiyo ndiyo lawama kubwa dhidi ya JK kwamba anashindwa kuwawajibisha watendaji wake.
Unakumbuka Bolshevik Revolution ilipoanza Russia. Yalipotokea matatizo katika Collectivisation ya Agriculture na Indutry,Stalin akasema kwamba hatupati maendeleo kwa sababu wapo ''saboteurs''. Hawa watu wakakusanywa wakapelekwa Siberia. Unaona similarity na ''economic sabotuers'' wakati lilipoanza Azimio la Arusha?
Kwa hiyo hapa watu wanataka kuona JK anafanya kazi kama Stalin. Au wanataka kuona Cultural Revolution hapa Tanzania,kama iliyofanyika China.
Zilikuwa zinafanyika juhudi halali za kuleta maendeleo Russia na China,lakini hazikufanikiwa kwa sababu watendaji walikuwa imperfect,walikuwa wanafunga watu wengine,walikuwa wanafunga watu wengi ambao hawana makosa,in fact,in Russia and China,mapadre wengi walifungwa.
Lakini mimi nadhani juhudi zozote zinazofanyika kulilinda na kulihifadhi Taifa,na kuhakikisha maendeleo ya Taifa,ni juhudi halali.
Katika uchaguzi wa Rais mwaka 2005 kulikuwa na wagombea wengi wakiwemo JMKkikwete (CCM), IHLipumba (CUF), FMbowe (CHADEMA)..na wengine...
Wakati huo kikundi fulani cha jamii (kinachopenda kupendelewa) kikatamka waziwazi kwamba JMKikwete ni chaguo la Mungu...impliedly wagombea wengine si chaguo la mungu...ila....
Hatimaye wananchi wakapiga kura akashinda wengine yule chaguo la Mungu nafikiri kikundi hicho cha jamii (kimeshapata cake/mgawo wao kwa kuwa kina penda kupendelewa)
Swali je 2010 JMKikwete ni chaguo mungu (2005) itabidi 2010 apande daraja awe / atakuwa "mtoto wa Mungu" ?
1/. Nadhani masuala ya Mungu yako based on faith, si lazima watu wote wawe na faith moja.Katika uchaguzi wa Rais mwaka 2005 kulikuwa na wagombea wengi wakiwemo JMKkikwete (CCM), IHLipumba (CUF), FMbowe (CHADEMA)..na wengine...