Rais anapatikana kwa kuchakachua, mafuta ya magari yake ni kuchakachua, bidhaa zinazoingizwa nchi zimechakachuliwa, viongozi wana degree za kuchakachua, taarifa kila idara ni ya kuchakachua, kila kitu Tanzania ni kuchakachua. Miaka mitano ijayo ni ya kuchakachua mambo.
Lowasa camp na Sitta camp watachakachuana,