Hivi hajui kuwa ukiimarisha uchumi wa nchi hata hao wanamuziki wanaimarika?......sasa wakiimba vizuuri na listudio kuubwa halafu sisi hatuna viingilio na hela kununua CDs watakuwaje sawa na Beyonce?.....

Safari atapata wapi huo uwezo wa kufikiri wakati hanao? Ndio maana alifikiri kumleta coach wa kigeni pekee na kuignore factors zingine zote ndio jibu la kuimarika soka letu, kugawa hand outs za 1 billion kila mkoa ndio kugawa maisha bora kwa kila mtanzanzania, ndio maana mpaka karne hii ni kiongozi pekee duniani anayeamini Tanzania itandelea kwa misaada kutoka nje though hajuwi ni kwanini tu maskini, the list goes on and on. Ni hasara ilioje kuwa na nahodha wa chombo ambaye haoni beyond his nose. What a mess real!