JK na Membe

Status
Not open for further replies.

Mswahilina

Senior Member
Joined
Apr 7, 2008
Posts
171
Reaction score
17
Napenda kuuliza: Hivi kuna Undugu wowote wa Damu kati ya JK na Membe?
Mbona wanafanana usoni?
 
Sidhani kama wanafanana hata kidogo. Hebu waangalie tena vizuri...πŸ™‚
 
Nasikia kuna undugu wa kuunga unga......wajuvi tafuteni na mkachimbe..ila wale no bro's amini msiami...
 
Mimi pia nimesikia kutoka chanzo kisicho rasmi kuwa miaka ya nyuma baba ya JK alizuru mitaa ya kusini, akazaa na mama ya Ben, huyu mama hakutaka kubadili dini wala kuolewa mitala akaamua kuishi kivyake na ndio chanzo cha Ben kuwa mkristu, lkn basically hawa ni ndugu wa damu kabisa...
 
JK na Membe????????????huo undugu ili iweje sasa?
 
This is utter crap.Yanakuhusu nini?Pliz find something more useful to post here.

Utter crap according to which standards? πŸ˜•
If you don't find anything useful then please move on to the next thread. Your standard maybe very different from JF's standards, and the last time I checked you were not among those who were assigned to set standards on this forum.
 

Babu, punguza Hasira.
 
Kwani wakiwa ni ndugu kuna tatizo gani???? Ndio ukaburu aliosema nyerere huo mmeishiwa post za kuweka hapa???
 
Napenda kuuliza: Hivi kuna Undugu wowote wa Damu kati ya JK na Membe?
Mbona wanafanana usoni?

...ina maana jamaa walizaliwa halafu wakatengana utotoni??? ahaha lakini wanafanana fulani kiasi kwamba hata membe anafikiria kuwa next presidenti ajaye ni yeye..... day dreamer
 
ila mbona hata hawafanaai saaaaaaaaaaaaaaana.. mi naona wanafanana kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..

ila hii yote ni ya nini?
 
Undugu wao labda umeanzia wakati jamaa akiwa waziri wa mambo ya nje wakati Membe akiwa kama sikosei afisa mwandamizi. Ila wana sifa zinazofanana wote wawili ukiwatizama. Halafu wanapendwa na kwakweli wao wanapendeka sio wachoyo kabisaaa!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…