baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,971 Reaction score 18,641 Sep 29, 2025 #1 JK anaeleweka ccm ni JK na yupo kwenye kampeni za CCM mlitegemea atasemaje?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Sep 29, 2025 #2 Kuwa ccm hakumfanyi mtu mzima kuongea pumba.
baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,971 Reaction score 18,641 Sep 29, 2025 Thread starter #3 Tate Mkuu said: Unatetea ujinga bila shaka. Click to expand... Mimi sioni tatizo yuko kwenye kampeni za CCM ni haki yake yuko kampeni za chake sasa kama mtu ajaona aibu ya kushinda peke yake ni kumpuuza
Tate Mkuu said: Unatetea ujinga bila shaka. Click to expand... Mimi sioni tatizo yuko kwenye kampeni za CCM ni haki yake yuko kampeni za chake sasa kama mtu ajaona aibu ya kushinda peke yake ni kumpuuza
Tonny Kapola Gas Station JF-Expert Member Joined Aug 14, 2025 Posts 1,023 Reaction score 3,334 Sep 29, 2025 #4 Tubadilishe katiba ili waweze kushtakiwa
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,871 Reaction score 39,881 Sep 29, 2025 #5 Jk asiyeweza kukemea mauaji Jk asiyeweza kukemea kuuzwa bandari Jk asiyeweza kukemea uchaguzi wa utapeli Jk asiyeweza kukemea rushwa na ufisadi Huyo jk hana heshima yoyote katika jamii
Jk asiyeweza kukemea mauaji Jk asiyeweza kukemea kuuzwa bandari Jk asiyeweza kukemea uchaguzi wa utapeli Jk asiyeweza kukemea rushwa na ufisadi Huyo jk hana heshima yoyote katika jamii