Elections 2010 JK ni Ignomarus

Elections 2010 JK ni Ignomarus

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Anakosa ile gravitas ya kujenga hoja kama kiongozi wa nchi. Haiyumkini Tanzania tulikuwa hatuna rais miaka yote hii ila tulikuwa tunatawaliwa labda na Januari. Kwa nini anashindwa kumkabili Slaa kwa hoja za sera, badala yake anatumia muda wa kushawishi kura kwa ahadi za peremende? Vision yake ni nini kwa nchi hii?

Unaweza kuwapa watu samaki wakala na kushiba siku hiyo, laini utafanya la maana zaidi ukiwapa ndoana kusudi wajivulie samaki wao wenyewe kila siku. Kikwete ana ahadi za kugawa samaki wakati Slaa ana ahadi za kugawa ndoana. Nani anajua kuongoza baina ya hawa wawili?
 
ahaaaaaaaaaa tulikuwa tunatawaliwa na january ,kweli mkwere hamna kitu kabisa .
 
Back
Top Bottom