Ndugu yangu, napita mitaani naona anatumia intergrated method, kote kote,
1. Anahonga wapiga kura
2. Anawatisha wapiga kura kwa amani, utulivu na mengineyo,
3. Na baadhi ya wagombea wetu nao mmhhh! wengine wanazunguka mbuyu maana maburungutu yake si mchezo.
4. Anawatumia sana wanawake kuwatisha na kuhonga
5. Nec wenyewe pia wanatumika kukamilisha
6. Askari wanatishia
7. Wasimamizi wote nao pia kulamba mshiko
8. Meseji za kumkashifu mwenzake kila siku
9.Uchokozi kwenye mikutano ili Chadema waoneshe anger yao na waonekane wanamwaga damu
10. Kununua shahada za wapiga kura
na mengine mengi waliyofanya tayari kama kuwafukuza wanafunzi vyuoni, walimu na wanafunzi kulazimishwa kumpigia