Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
mkuu usiniambie kikombe cha babu kimeshindwa, sasa Tutampa dawa gani tena?Maumivu ya kichwa huanza taartibu, jamani mwenzetu anaumwa tena anaumwa saaaaaaaaaaaana, ili mradi kikombe cha babu kimeshindwa ndiyo basi tena.
Maumivu ya kichwa huanza taartibu, jamani mwenzetu anaumwa tena anaumwa saaaaaaaaaaaana, ili mradi kikombe cha babu kimeshindwa ndiyo basi tena.
Rais kasema reli inayotumika kwa sasa imeppitwa na wakati kwa hiyo serikali inajiandaa kujenga reli mpya na ya kisasa.
Kukamilika kwa reli hiyo kutaifanya bandari ya dare es salaam kutumika vya kutosha alisema.
Ahadi hiyo itatekelezwa kwa kupitia mkopo wa benki ya maendeleo afrika na nchi tajiri zitatoa misaada mbali mbali.
Mradi hadi kukamilika utatumia dola bilion 5.1 za kimarekani.
Source: ippmedia.com

Kwanini hamtaki kusikia ahadi za Mkuu wa Nchni?!
Mnadhani haiwezekani?
huyu bwana nadhani akachunguzwe, alihaidi atajenga barabara ya kupita hewani,imeishia wapi?leo amekuja na ndoto za kujenga reli, ahaa hii balaa bora uzaliwe mbwa ulaya si bongo.
Ubongo wake bado uko kwenye kampeni........liar
inawezekana, si keshaanza na bajaji? Za kubebea wamama wajawaziti.. Bajaji moja dola 6000us dolla
Ebu hacha utani wewe Bajaji $6,000.00? mbona hiyo inanunua gari la mgonjwa! au kwa vile sheria yetu hairuhusu second hand items! Mbona hiyo sheria sasa hapo imeturudi wenyewe.