Elections 2010 Jk tumia maiti yangu kama ngazi kurudi ikulu lakini sio jasho langu.

Elections 2010 Jk tumia maiti yangu kama ngazi kurudi ikulu lakini sio jasho langu.

Namfananish jk na timu ya mpira inyoshambuliwa san a na mabeki hawakabi
 
Hivi karibuni mheshimiwa anaeondoka madarakani aliwahutubia wananchi wa songea kuwa kuna watu wanataka kutumia maiti za wananchi kama ngazi kuingia ikulu, nimetafakari kwa mda mrefu kauli hiyo sasa nimeng'amua kuwa JK ndo anaetaka kutumia maiti za walala hoi wa nchi hii kama ngazi za kumrudisha ikulu.

NAMWABIA JEIKEI KUWA MWILI WANGU HALALI YAKE KUUGEUZA MAITI KUITUMIA KAMA NGAZI KURUDI IKULU LAKINI SIO JASHO LANGU.

JK TUMIA MWILI WANGU KAMA MKATE WAKO WA KILA SIKU IKULU NA DAMU YANGU KAMA MVINYO WAKO NA WANAO LAKINI SITAKUBALI UTUMIE JASHO LANGU.
Mh! kweli laana ya watu wengi ni laana ya Mungu, sijui nini kitatokea Ee Mungu mwema yaangalie haya, ukaipinye nchi yetu iliyojaa maziwa na asali.
Amen
 
Kila kona wanakiri kutoichagua ccm, hilo wamesha lijua na kinacho fanyika sasa ni kutafuta kianzio cha kuvuruga.

Our president Slaa, Go to Ikulu 31/10/2010
 
duuuu haya maneno mazito sana! tupunguze ukali wana jf!
 
Tuwaache wananchi waongee kwa nafasi zao. haya hayatapita bure. Inanikumbusha ktk Biblia jinsi Musa alivyo enda kuwatoa wana wa Israel kule Misri. Usicheze na Mungu.
 
Hivi karibuni mheshimiwa anaeondoka madarakani aliwahutubia wananchi wa songea kuwa kuna watu wanataka kutumia maiti za wananchi kama ngazi kuingia ikulu, nimetafakari kwa mda mrefu kauli hiyo sasa nimeng'amua kuwa JK ndo anaetaka kutumia maiti za walala hoi wa nchi hii kama ngazi za kumrudisha ikulu.

NAMWABIA JEIKEI KUWA MWILI WANGU HALALI YAKE KUUGEUZA MAITI KUITUMIA KAMA NGAZI KURUDI IKULU LAKINI SIO JASHO LANGU.

JK TUMIA MWILI WANGU KAMA MKATE WAKO WA KILA SIKU IKULU NA DAMU YANGU KAMA MVINYO WAKO NA WANAO LAKINI SITAKUBALI UTUMIE JASHO LANGU.

Kwa haliii kuna hati hati kuwa 2015 JK ukiachia ngazi kuna haraki za kufikishwa mahakamani tizama sana alama za nyakati jamani kwa wengi waliko kwenye madaraka au mwombeni mungu mfe kabla ya KATIBA KUBADIRISHWA IMMUNITY YA PRESIDENT ITAKUWA MASHAKANI SANA,

Hicho ndicho nachokiona kwa mbali na kwamtazamo wangu kwani mwananchi anapofikia kusema hayo maneno hapo juuu je ni wangapi wao wanao sema hivyo na hatujawasikia kutokana kutokuwepo na mawasiliano huko waliko?

Acheni kuandika PUMBA! Kwani lazima uandike hata kama huna cha kuandika?
 
JK is now at the highest stage of mental confusion, CHADEMA plans are driving him to the edge..anaahidi na kuongea mambo yasiyowezekana...HABARI za kuaminika toka ndani ya wazito wa chama cha CCM ni kwamba something MUST be done to 'check' him, otherwise wakibahatika kurudi ikulu 2010-2015 haitatawalika coz maisha yatakua magumu sana Tanzania, hence---social unrest.. I can assure you, if at all he will be fit for any office undertakings, basi miujiza huwa ipo...
 
Acheni kuandika PUMBA! Kwani lazima uandike hata kama huna cha kuandika?
kama umeingia choo cha wanawake toka haraka na si kulazimisha kuchuchumaa ili uonekane mwanamama,
hapo hamna pumba mtazamo wako ni wa kushoto zaidi
 
These are very strong words - chonde CCM isitufikishe kwenye jazba maana wanataka tukasirike tuseme kitu wakitumie kuomba huruma ya wakulima na wafanyakazi.

Chagua CHADEMA 2010
 
Ukiwa unapigana na mtu, gafla mwenzako unamuona anakimbilia mawe basi ujue mwenzio amezidiwa..!
 
kama umeingia choo cha wanawake toka haraka na si kulazimisha kuchuchumaa ili uonekane mwanamama,
hapo hamna pumba mtazamo wako ni wa kushoto zaidi

Ama kweli hiki ni choo cha kike maana udaku ndiyo nyumbani kwake!
 
Hivi karibuni mheshimiwa anaeondoka madarakani aliwahutubia wananchi wa songea kuwa kuna watu wanataka kutumia maiti za wananchi kama ngazi kuingia ikulu, nimetafakari kwa mda mrefu kauli hiyo sasa nimeng'amua kuwa JK ndo anaetaka kutumia maiti za walala hoi wa nchi hii kama ngazi za kumrudisha ikulu.

NAMWABIA JEIKEI KUWA MWILI WANGU HALALI YAKE KUUGEUZA MAITI KUITUMIA KAMA NGAZI KURUDI IKULU LAKINI SIO JASHO LANGU.

JK TUMIA MWILI WANGU KAMA MKATE WAKO WA KILA SIKU IKULU NA DAMU YANGU KAMA MVINYO WAKO NA WANAO LAKINI SITAKUBALI UTUMIE JASHO LANGU.

Kampeni chafu ni jambo la hatari, wengi tumelalamika ujumbe mchafu unaosambazwa kwenye simu za mikononi lakini tunasahau kuwa ujumbe huo hauna tofauti na baadhi ya posts kama hii hapa juu. Tofauti ni kwamba, ujumbe mwingine unatumwa kwa simu lakini mwingine unatumwa kwa blogs. nani wa kulaumiwa? Ni sisi wote tunaopenda kuendesha siasa chafu ambazo zitaangamiza ustaarabu wa siasa nchini.
 
Rais hajapatikana tu, sasa huu uhuni wa kitoto kabisa
 
Haya jamani!! Hadi sasa miili mingapi isiyo na hatia imeshaondoka? Tukianza kuhesabu maswa kwa dereva!
 
Back
Top Bottom