H H6MohdH6 Member Joined Oct 8, 2010 Posts 43 Reaction score 3 Nov 5, 2010 #1 JK, tunaomba ukubali kushindwa tu ili kuinusuru nchi kutoka makucha ya wezi, wauza unga, na wafuasi wa Al Kaida.
JK, tunaomba ukubali kushindwa tu ili kuinusuru nchi kutoka makucha ya wezi, wauza unga, na wafuasi wa Al Kaida.
F Fishyfish JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 231 Reaction score 1 Nov 5, 2010 #2 Similar to the National Socialist German Workers' Party, CCM would rather have war than peace.
Nyange JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 3,517 Reaction score 1,869 Nov 5, 2010 #3 Chama cha majambazi kimedhihirisha uhuni wake kilivyokuwa kikipora Raslimali za nchi sasa kimejikita kwenye wizi wa demokrasia. Msinge tangaza kupiga kura, mngeendelea kulazimisha kuongoza kama ambavyo mmefanya. Lakini Mmejiingiza madarakani Shame!
Chama cha majambazi kimedhihirisha uhuni wake kilivyokuwa kikipora Raslimali za nchi sasa kimejikita kwenye wizi wa demokrasia. Msinge tangaza kupiga kura, mngeendelea kulazimisha kuongoza kama ambavyo mmefanya. Lakini Mmejiingiza madarakani Shame!