Jk usimwache mama salam kikwete baraza la mawaziri lijalo

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hii ni mawazo tu kwako mkuu nchi
Tunajua uko mbioni kurudi mjengoni akuna budi kumkumbuka mama kwenye ufalme wako wa baadae..hii wala si takrima mzee angalia mambo ya museveni angali9a mutharika nae kamchagua mama sasa kwa ni ni wewe usimchague mzee..plse tafadhali hili ni wazo kwa mlio karibu na mzee mjulisheni
 
You are not serious with this crap. Aren't YOU????
 
Mi naona angefanya kama Bill Crinton.
Haina haja ya kumbeba kihivyo, ajenge mazingira ili 2015 au 2020 Mama Salma agombee ukuu wa nchi kama Hilaly Clinton alivyofanya.
 
Na kweli kwani uwaziri unasomewa chuo gani..??
 
Back
Top Bottom