Elections 2010 JK: Vyama pinzani ni 'photocopy'

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Ni kama mara mbili JK amekuwa akisema kwenye kampeni zake kuwa vyama vya upinzani ni 'photocopy' na CCM ndio 'original'. Hivyo wadanganyika wachague 'original'. Hivi kati ya 'original' na 'photocopy' kipi utumika sana?

Hivi 'original' ikipotea, si photocopy inafaa sana kutumika? JK ameshindwa kuelewa kuwa cheti chetu 'original' (TANU then CCM) tulichokipata baada ya uhuru kilikwisha ibwa au potea mwaka 1985. Muda wote huo mpaka 2010 hatuna 'original', basi ni vyema sasa tutumie 'photocopy' yaani wapinzani hasa Chadema!! Na hayati Nyerere alishaona kuwa Chadema ndio 'photocopy' ya CCM mara CCM inapo poteza uelekeo!!

Suala ni 'content', content ile ile lakini 'original' imepotea. Marehemu Horace Korimba alikwisha sema 'CCM original' imepotea yaani aina dira wala uelekeo. Phtocopy ya CCM original kwa sasa ni Chadema, mfano huduma muhimu kama elimu na afya bure; CCM ya sasa hilo haliwezekani lakini ile ya kabla ya 1985 iliwezekana!!!!!!
 
JAMAA WAKO STANDBY IN CASE AKIANGUKA WAMDAKE!
Hizi afya mgogoro hizi!!!
 
Sura ya JK si kama huwa anatabasamu. Laa. Huwa anahisi maumivu makali kwenye mwili wake; sema watu hawajui tu.
 
Anaonekana kama chotara vile. sijui amechanganya damu ya kina Rostam na Lowassa.
 
Aliwahikutamka maneno hayo akiwa mbulu, aliambulia kupigiwa miluzi kama mbwa mwizi;
 
rose%20kamili1.JPG
 
Ni kama mara mbili JK amekuwa akisema kwenye kampeni zake kuwa vyama vya upinzani ni 'photocopy' na CCM ndio 'original'. Hivyo wadanganyika wachague 'original'. Hivi kati ya 'original' na 'photocopy' kipi utumika sana?

Hivi 'original' ikipotea, si photocopy inafaa sana kutumika? JK ameshindwa kuelewa kuwa cheti chetu 'original' (TANU then CCM) tulichokipata baada ya uhuru kilikwisha ibwa au potea mwaka 1985. Muda wote huo mpaka 2010 hatuna 'original', basi ni vyema sasa tutumie 'photocopy' yaani wapinzani hasa Chadema!! Na hayati Nyerere alishaona kuwa Chadema ndio 'photocopy' ya CCM mara CCM inapo poteza uelekeo!!

Suala ni 'content', content ile ile lakini 'original' imepotea. Marehemu Horace Korimba alikwisha sema 'CCM original' imepotea yaani aina dira wala uelekeo. Phtocopy ya CCM original kwa sasa ni Chadema, mfano huduma muhimu kama elimu na afya bure; CCM ya sasa hilo haliwezekani lakini ile ya kabla ya 1985 iliwezekana!!!!!!

Hayo mambo ya fotokopi ndiyo yaliyomfanya aambiwe kule Mbulu, 'H A T U D A N G A N Y I K I'
 
Back
Top Bottom