JK: Wanajua anazipenda au anaziomba mwenyewe...?

JK: Wanajua anazipenda au anaziomba mwenyewe...?

MawazoMatatu

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2008
Posts
505
Reaction score
63
Hivi kiongozi wetu anaombaga zawadi hizi au ni wanamjua jinsi alivyo na mapenzi na jezi hizi za wachezaji maarufu...? hii ni mara yangu ya tano kumuona Rais akipokea zawadi za aina hii..!

11.jpg


http://1.bp.blogspot.com/_1fXMXYztr0w/TDSl9IhSJdI/AAAAAAAAa24/9Hdfrbvt-u4/s1600/11.jpg
 
Huenda anakusanya jezi za kufanyia mazoezi...!!!😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:
 
Wanamfanyia utafiti na kujua vitu anavyovipenda!!
 
labda anazikusanya jezi ilikuweza kuzigawa wakati wa kampeni zake ili aonekane kuwa ni kweli mwanamichezo.:A S-eek:
 
Back
Top Bottom