MawazoMatatu JF-Expert Member Joined Sep 6, 2008 Posts 505 Reaction score 63 Jul 9, 2010 #1 Hivi kiongozi wetu anaombaga zawadi hizi au ni wanamjua jinsi alivyo na mapenzi na jezi hizi za wachezaji maarufu...? hii ni mara yangu ya tano kumuona Rais akipokea zawadi za aina hii..! http://1.bp.blogspot.com/_1fXMXYztr0w/TDSl9IhSJdI/AAAAAAAAa24/9Hdfrbvt-u4/s1600/11.jpg
Hivi kiongozi wetu anaombaga zawadi hizi au ni wanamjua jinsi alivyo na mapenzi na jezi hizi za wachezaji maarufu...? hii ni mara yangu ya tano kumuona Rais akipokea zawadi za aina hii..! http://1.bp.blogspot.com/_1fXMXYztr0w/TDSl9IhSJdI/AAAAAAAAa24/9Hdfrbvt-u4/s1600/11.jpg
Sajenti JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 3,651 Reaction score 413 Jul 9, 2010 #2 Huenda anakusanya jezi za kufanyia mazoezi...!!!πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:
Huenda anakusanya jezi za kufanyia mazoezi...!!!πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:πound:
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,275 Reaction score 13,929 Jul 9, 2010 #3 Wanamfanyia utafiti na kujua vitu anavyovipenda!!
hermes Member Joined Jul 15, 2010 Posts 17 Reaction score 0 Jul 15, 2010 #4 labda anazikusanya jezi ilikuweza kuzigawa wakati wa kampeni zake ili aonekane kuwa ni kweli mwanamichezo.:A S-eek:
labda anazikusanya jezi ilikuweza kuzigawa wakati wa kampeni zake ili aonekane kuwa ni kweli mwanamichezo.:A S-eek: